WAIMBAJI WAKIJIANDAA KUPANDA JUKWAANI KWA AJILI YA UIMBAJI
Waimbaji wa kwaya kuu kibangu siku ya uzinduzi wa albam yao, kuanzia kulia ni Rehema Sanga, Twelusigwe Mwaisango, Frida Kihanga, Glads Musunga, Eliza Nganyule, Monica Mbwambo, Eliudika Shoo na Robert Msuya.
Jamani wamependeza sana hongereni wanakwaya!
ReplyDeleteImenoga sana tu!
ReplyDelete