MAKAMU MWENYEKITI KWAYA KUU KIBANGU (KUSHOTO) SIKU YA NDOA YAKE, AKIWA NA MPAMBE WAKE AMBAYE NI MWENYEKITI WA KWAYA
VIJANA WAKIIGIZA USHARIKANI
Vijana wa usharika wa kibangu wakiigiza siku ya sikukukuu ya vijana 2013
Monday, December 23, 2013
Saturday, October 19, 2013
PICHA ZA MATUKIO YA JUBILEI YA MIAKA 50 YA KKKT MAKUMIRA
JUBILII KKKT YAFANA
Huku Waziri Mkuu Mstaaafu Mh Fredrick Sumaye akilitaka Kanisa kuepuka na wanaotoa fedha kwa kutumia mgongo wa dini
VIONGOZI WA KANISA KKKT PAMOJA NA WAGENI SIKU YA JUBILEI
MJANE WA MKUU WA KANISA WA ZAMANI SEBASTIAN KOLOWA NAYE ALIKUWEPO
MZEE WETU DR MUSHEMBA NAYE ALIKUWEPO
VIONGOZI WA KANISA LETU LA KKKT.
Wednesday, September 25, 2013
MAASKOFU WAKIWA KAZINI
SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA LA KKKT SHINYANGA DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA NA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU EMMANUEL MAKALA
KANISA ZURI NA KUBWA LA SHINYANGA
KWAYA YA MATARUMBETA ILIKUWEPO KATIKA SHEREHE HIZO.
Thursday, September 19, 2013
Wednesday, September 11, 2013
WAIMBAJI WA KWAYA
Waimbaji wa kwaya kuu kibangu wakiwa kwenye Uzinduzi! Wa kwanza ni Mr Robert Msuya, Mrs Moshi, Mr Mariki, Mama Mgeni, Mrs Masue, Lucy Malya, Jonasi Mkanza na Katibu Stephen Muwanga.
WAIMBAJI WAKIPANDA JUKWAANI
Mfalme mkuu yuko juu, Mfalme mkuu yuko juu! Ndivyo wa wanavyoimba waimbaji hawa wa kwaya kuu kibangu siku ya uzinduzi wa Toleo la Pili 2008. Wakiongozwa na Mwenyekiti Msaafu Rehema Sanga kushoto na kulia ni Twelusigwe Mwaisango. Mlezi wa kwaya Bwana Laizer aliyevaa shati la kitenge Akifuhahia
Tuesday, September 10, 2013
UIMBAJI WA KANTATE MAY 2013
Uimbaji ni mahubiri, pia uimbaji huleta afya hasa wenye matatizo ya msongo wa mawazo, hufundisha tena huelimisha sana! Picha ni kwaya kuu Kibangu wakiimba kwenye Ibada. Mwalimu Erasto Lihawa akiimbisha.
Friday, September 6, 2013
UIMBAJI WA REFORMATION
Katika maandalizi ya mwisho mwisho kuelekea kwenye uimbaji wa Reformation 2010.
Mwalimu E. Silayo akitoa maelekezo ya mwisho mwisho Mara baada ya kuonyesha uimbaji kwenye ibada
na kugundua kasoro hapo alikuwa anarekebisha Baadhi ya sauti.Aliyeshika Mfuko ni Emaculata Mkichwe, na mama Kihanga. Nyuma ni Stephen Muwanga pamoja na Fadhil .
KWAYA KUU KIBANGU
Mchungaji kiongozi Usharika wa Kibangu Richard Hananja akiwa na mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa albam ya pili ya kwaya ya TULIA UTAFAKARI Vol. 2 . pembeni ni mwenyekiti na katibu wa kwaya.
Thursday, September 5, 2013
WAIMBAJI WAKIJIANDAA KUPANDA JUKWAANI KWA AJILI YA UIMBAJI
Waimbaji wa kwaya kuu kibangu siku ya uzinduzi wa albam yao, kuanzia kulia ni Rehema Sanga, Twelusigwe Mwaisango, Frida Kihanga, Glads Musunga, Eliza Nganyule, Monica Mbwambo, Eliudika Shoo na Robert Msuya.
Subscribe to:
Posts (Atom)