Askofu Mkuu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa
akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada
iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na
kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT
Mkuu
wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa
Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada
iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam