Monday, April 20, 2015

MCHUNGAJI LWIZA AINGIZWA KAZINI

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch. Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini mbalimbali wa KKKT 



Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam


Wednesday, June 25, 2014

IBADA SIKU YA JUMAPILI



IBADA YA KWANZA;    1:00-  3:30Asubuhi

IBADA YA PILI  ;            4:00--6:00 Mchana

BIBLE STUDY ;               8:00---10:00 jioni

MAOMBI;      JUMATANO NA IJUMAA  SAA 1:00 JIONI




  MAZOEZI YA KWAYA KUU KIBANGU

JUMANNE    12:00 --------1:30 JIONI

ALHAMISI     12:00-------1:30  JIONI

JUMAMOSI   10:00-------11:30 JIONI

Friday, June 20, 2014

KWAYA YA UINJILISTI KIBANGU WAKIWA JUKWAANI




KWAYA YA UINJILIST  YA UMOJA USHARIKA WA KIBANGU WAKISHIRIKI KWENYE TAMASHA LA KWAYA ZA UINJILISTI LILILOFANYIKA USHARIKANI KIBANGU TAREHE 15/6/2014



Monday, December 23, 2013

BAADHI YA MATUKIO USHARIKANI KIBANGU

MAKAMU MWENYEKITI KWAYA KUU KIBANGU  (KUSHOTO) SIKU YA NDOA YAKE, AKIWA NA MPAMBE WAKE AMBAYE NI MWENYEKITI WA KWAYA





  





VIJANA WAKIIGIZA USHARIKANI







Vijana wa usharika wa kibangu wakiigiza siku ya sikukukuu ya vijana 2013

Saturday, October 19, 2013

PICHA ZA MATUKIO YA JUBILEI YA MIAKA 50 YA KKKT MAKUMIRA


JUBILII KKKT YAFANA 

Huku Waziri Mkuu Mstaaafu Mh Fredrick Sumaye akilitaka Kanisa kuepuka na wanaotoa fedha kwa kutumia mgongo wa dini

 


VIONGOZI WA KANISA KKKT PAMOJA NA WAGENI  SIKU YA JUBILEI

MJANE WA MKUU WA KANISA WA ZAMANI SEBASTIAN KOLOWA NAYE ALIKUWEPO


MZEE WETU DR MUSHEMBA NAYE ALIKUWEPO

VIONGOZI WA KANISA LETU LA KKKT.






Wednesday, September 25, 2013

MAASKOFU WAKIWA KAZINI

SHEREHE ZA UZINDUZI WA KANISA LA KKKT SHINYANGA DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA NA KUWEKWA WAKFU KWA ASKOFU EMMANUEL MAKALA




KANISA ZURI NA KUBWA LA SHINYANGA

KWAYA YA MATARUMBETA ILIKUWEPO KATIKA SHEREHE HIZO.

Thursday, September 19, 2013

MKUU WA KANISA KATIKA HUDUMA

Mkuu wa kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania akiwa katika moja ya huduma za kiroho!